Home
Unlabelled
ANKAL AZUNGUSHWA JIJI LA COLOMBO, SRI LANKA, KWA BAJAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni wasafi sana, bali ni wachovu kama sie tu Bongo
ReplyDeleteata kama wachovu kama sie bongo wenzetu mji unaeleweka sio kam sie bongo, uchafu uchafu tu
ReplyDeleteAnkal itabidi urdi na Tekilojia waliyotumia Manispaa huko kuhakikisha Waendesha Bajaj wote ni wasafi hivyo!
ReplyDeleteWaendesha Bajaj wetu ni kama Vibarua wa Gereji hwafui makoti yao, girisi hadi utosini!!!
Jamani, tusubiri tu na tusiwe na haraka sana. Maendeleo yanakuja taratibu na sisi tutafika tu kama wenzetu walipofikia. Viongozi wetu wana nia njema ya maendeleo ila tu sisi wananchi wakati mwingine tunakuwa wazembe wa kutunza mazingira na usafi. One day yes
ReplyDeleteAwesome Mr. Michuzi thank you for sharing. Beautiful city.
ReplyDelete