Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya Meru Services LTD, Bw. Dullah Meru akiongea machache na balozi Peter Kallaghe. 
Balozi Kallaghe alifurahishwa na taarifa aliyopewa kuwa kampuni hiyo imekuwa ikitoa huduma katika Benki ya Credit Suisse kwa weledi, ujuzi na uaminifu mkubwa kwa takriban miaka 15. Aidha imekuwa ikitoa fursa za ajira kwa makundi mbalimbali ya watanzania wakiwemo wanafunzi waishio jijini London.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Axis Europe PLC Bw Dean Richards akimuelezea balozi Kallaghe umuhimu kuwepo kwa kampuni ya Meru Services katika eneo hilo la Canary Wharf.
Kwa taarifa na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...