Mashabiki wa Timu za Simba na Yanga wakichuana vikali katika mchezo wa
mbio za magunia wakati wa muendelezo wa kampeni ya
NANI MTANI JEMBE iliyofanyika katika viwanja vya Shule ya msingi
Mkendo mjini Musoma leo jana.
Mashabiki wa timu za Yanga na Simba wakipambana katika mchezo wa
kuvuta kamba kwenye bonanza la kampeni ya NANI MTANI
JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ambalo limefanyika jana katika viwanja vya Shule ya msingi Mkendo mjini Musoma.
Bendi ya Musoma Stars ikitumbuiza katika bonanza la kampeni
ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro lililofanyika jana kwenye viwanja vya Shule ya msingi Mkendo mjini Musoma.
Tafuteni michezo mingine, licha ya kukimbia maguniani na kuvutana kamba.
ReplyDeleteKwa mifano, kusafisha mazingira na kufagia mabarabara.