https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuBZInzwBSVoPU1s4ymTh4ry2rLV7GRHjxGEvp3M9Eig948ATyu8DseeJkR_a31mQubjw0CVEne-VFk4IAIFdKXh-wJsvQwNL7cacpE67yESDACe_kRRmvVJOWihOQNXeOcRYj3g/s1600/Image014.jpg
KINAPATIKANA: DAR ES SALAAM
WILAYA:TEMEKE
KATA:KIGAMBONI.
ENEO NI KUBWA SANA NA LIPO PEMBEZONI MWA BARABARA YA LAMI
UMBALI KUTOKA FERI NI KILOMITA NNE

BEI YA ENEO:MILLIONI 90 /= tsh

MAELEZO YA ENEO LILIVYO.
Eneo lipo kigamboni bado halijapimwa(Kwa Mnunuzi akishughulikia kulipima bei itapungua--Ushirikiano utatolewa kuhakikisha sheria zote za kupima na kumiliki zinafuatwa).
Kwa wale wakazi wa DSM eneo lipo karibu kabisa na linapotokea daraja linalojengwa la kuvuka Bahari kuja Kigamboni.
Pia Eneo(kiwanja) kipo pembezoni mwa barabara ya Rami kukutanisha na barabara inayotokea Kongowe.
Kwa muhitaji eneo ni zuri sana kwa nyumba na  biashara.

ZINGATIA
Hatuhitaji dalali kwenye biashara hii,Msaada wowote wa Kisheria kuhakikisha Mnunuzi ananunua eneo hili bila usumbufu wowote na analimiliki kwa kufuata sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia tupo tayari kukupeleka eneo husika ukaangalie ukubwa wake,
KWA YEYOTE ALIYETAYARI KWAAJILI YA MANUNUZI TUWASILIANE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pima kwanza halafu uza, ni kama paundi alfu arobaini hivi, won`t burn them without title deed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...