.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakati wa nmkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki unaofanyika jijini Kampala Uganda leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Rais Yoweri Museveni wa Uganda,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa katika mkutano katika hoteli ya Munyonyo jijini Kampala wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki leo. Picha na Freddy Maro
Yaani ukiangalia kwa jinsi walivyokaa unajua kabisa E,A,C ishakufa ila basi tu wanashindwa kutamka hazalani,,The mdudu K,huwa hachezi mbali kwenye mikutano kama hiyo ili kumake sure amani ya Tanzania inaendelea kama kawaida na huwa nakaa chini ya miguu ya JK,huku nikimpa ishara zote za amani kwenye nchi yake na mkutano ukisha tu mie huyo NASEPA.
ReplyDeleteThe Mdudu K ndugu yangu,
ReplyDeleteEAC kama ni kufa wataiua hao hao CoW na jelazi zao!
Jamaa jana nimesoma ktk Gazeti moja la Uganda Waandishi wa Habari wakimhoji Katibu Mkuu wa EAC Dr. Sezibera ambaye anatokea Kigali akisema wazai ya kuwa CoW imeanzishwa kwa ile tahamaki baada ya kusikia Tanzania ina Mipango yenye akili ktk Miundo mbinu kama ile Bandaari ya Bagamoyo itakayo beba Kongtena 20 Milioni kwa mwaka!
Sasa hiyo si ndio Jelazi wajameni?
Mdudu K hapo juu,
ReplyDeleteHawa jamaa Kenya ,Uganda na Rwanda kama wataachana wa wivu dhidi ya maendeleo na nyota ya Tanzania kug'ara, Muungano utadumu lakini wakiendeleza wivu wao watauua Muungano wa EAC wao wenyewe na sio Tanzania!