Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(watatu kushoto),Mbunge wa Bariadi Mhe. Andrew Chenge(kushoto)pamoja na viongozi wengine w akifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi na kuzindua ujenzi wa Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8 huko enelo la Old Maswa mkoa mpya wa Simiyu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(pembeni ya Rais kulia) pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Barbara ya Bariadi Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8 huko eneo la Old Maswa leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika kijiji cha Nkololo wilayani Bariadi, Mkoa wa Simiyu leo.Weninge katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Steven Masele, Mbunge wa Bariadi Mhe.Andrew Chenge(wapili kushoto),Paroko wa Nkololo Padri Paulo Fegan(wanne kushoto) na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
''Kwani wao wakiweza wana nini na sisi tukishindwa tuna nini?''
ReplyDeleteHata na sisi Miradi ya Miundombinu UMEME NA BARABARA tunayo ambayo wanatutenga hao CoW (Coalition of the Willing ).
Ndio maana wamekaa na kuamua kututenga ni vile wanajua Miradi yetu inakuwenda hadi Vijijini!
Hongera Serikali ya awamu ya nne kwa kuimarisha miundo mbinu. Barabara na umeme ni kichocheo cha maendeleo.
ReplyDelete