Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhani leo ndo kijiwe kweli, nijiweke!
ReplyDeleteniliwa-miss hawa watu, leo nitaangalia. nawapenda manake wanawasilisha mawazo, maoni na mitazamo ya watanzania halisi.
ReplyDeleteNimecheka hiki kipindi cha leo. Ila nina neno moja. Injli inatuambia ya kwamba baba anapaswa kumwachia mwanae urithi. Sasa kama wewe baba yako kwa bahati mbaya hajakuachia urithi, basi wewe pambana (kwa njia halali) huku ukimwomba Mungu ili wewe uweze kumwachia mwanao urithi.
ReplyDeleteUsiige makosa ya baba yako, wala usilipe uovu kwa uovu.
Usimlipe baba yako kisasi, msamehe bure, mheshimu, mhudumie tu.
Duh leo raha bwana benja na yasini nyie vidume mnachukiwa kwakua mnaongea ukweli nasiku zote ukweli unauma maisha ya waafrica wengi huku ughaibuni yanaishia kusemana tu watu hawaangalii maisha yao
ReplyDeleteMdau Netherlands
Kijiwe bila ya hawa watu sio kijiwe kabisa,nashkuru wamerudi watupe raha kamili za watanzania halisi..Anko Benja weeeee!!!mwaga mawe mwaga mawe.Michuzi,tunaomba sana sana hawa watu wasikose kila kijiwe kikirushwa.
ReplyDeleteMdau wa Kijiwe Sweden.