Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (haonekani pichani) wakisalimiana na viongozi wa wilaya mpya ya Momba mkoani Mbeya, katika katika kijiji cha Nandanga mpakani mwa wilaya hiyo na Ileje mapema leo asubuhi.
  Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Momba mkoani Mbeya, katika kijiji cha Nandanga,mpakani mwa wilaya hiyo na Ileje mapema leo asubuhi.
Pichani juu ni  Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Momba, wakimsalimia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, alipokutana nao katika kikao cha ndani kwenye ukumbi wa Uwanji, wilayani humo, leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...