Kijana Mu Lin kutoka China akisoma Gazeti la Nipashe kama alivyokutwa na mpiga picha wetu Adam Mzee kwenye Hotel ya Courtyard jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante hehheeh....Kiswahili milele....Twendeee Oooooo

    ReplyDelete
  2. hawa wachina waswahili wapo wengi kitaa. Nashangaa ile kempeni haijawakumba.

    ReplyDelete
  3. Utashangaa wenzetu wa nje hata watanzania waishio nje wanapenda kuzungumza kiswahili ila sie tuliopo nyumbani tunaona ushamba kuzungumza kiswahili.

    ReplyDelete
  4. Kiswahili matamshi, khasa vyema kitamka,
    Hamuye huwa haishi, huzidi cha kuandika,
    Chini hakikuangushi, vyovyote taeleweka,
    Mbali noongewa 'Moshi', cha mwambao utachoka!

    Binafsi hupenda sana kuskia mtu akikizungumza ama kukiandika kwa ufasaha na khasa utamkwaji sahihi wa maneno mbali mbali kwa kuzingatia na maana zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...