LEO TAREHE 15 NOVEMBER 2013 IMETIMIA MIAKA 12 KAMILI TANGU MAMA YETU MPENDWA ANNA MERIANA SATWEVE MGINA AFARIKI DUNIA TAREHE 15 NOVENBER 2001, NA KUZIKWA HUKO MLANGALI LUDEWA, TUNA KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KWA MAISHA YAKE YOTE ALIPOKUWA HAI NA JINSI MAMA YETU ALIVYOTULEA NA TUNAAMINI ALIMPENDEZA MUNGU NA WANADAMU.
MAMA UTAENDELEA KUKUMBUKWA NA MUMEO REV. CANON STEPHANO MGINA, WATOTO WAKO, MARIAM, ANJANUSHE, AZARIA, CYPRIAN, REHEMA, POLIKAPO, OBERD, FURAHA, FRANK NA JOSEPH, WAJUKUU NA NDUGU WENGINE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE; AMEN.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...