Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua katika kaburi la marehemu Peter Philip Mangula mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, Mhe Philip Mangula aliyefariki majuzi jijni Dar es salaam, Mazishi hayo yalifanyika jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakiweka mashada ya maua.
Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim,akiwaongoza mawaziri wenzake wastaafu, kuweka mashada ya maua.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...