Mheshimiwa Nyambari Chacha Mariba Nyangwine, Mbunge wa Tarime leo hii akiwa jijini London alipata nafasi ya kuwatembelea wazee wa kaze Serengeti katika ofisi zao zilizopo Tilbury Mheshimiwa pia alipata nafasi ya kujionea shughuli mbali mbali zinazofanywa na Kampuni ya Serengeti ikiwa ni pamoja na ukaguzi wa magari
 MHE. NYAMBARI CHACHA MARIBA NYANGWINE AKIWA KWENYE BANDA LA TANZANIA NA CHRIS LUKOSI PAMOJA NA DAVID MUNANKA.
 MHESHIMIWA NYAMBARI NDANI YA SERENGETI
UKAGUZI WA MAGARI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...