Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja ya wake wa Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Madola wanaokutana Colombo nchini Sri lanka pamoja na vijana wanaowakilisha mataifa hayo mara baada ya ufunguzi rasmi uliofanywa na Prince Charles kwa niaba ya Malkia Elizabeth II kwenye ukumbi wa Nelum Pokuna Mahinda Rajapaksa, ulioko mjini Colombo, nchini Sri lanka leo tarehe 15.11.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja ya wake wa Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Madola wanaokutana Colombo nchini Sri lanka mara baada ya ufunguzi rasmi uliofanywa na Prince Charles kwa niaba ya Malkia Elizabeth II kwenye ukumbi wa Nelum Pokuna Mahinda Rajapaksa, ulioko mjini Colombo, nchini Sri lanka leo tarehe 15.11.2013. Picha na John Lukuwi
Mlete karibu kwenye picha tumuone alivyopendeza mama yetu.
ReplyDeleteHAPO KUNA DUME LIMEPIGA SUTI NYEUSI NI MKE WA RAISI GANI?
ReplyDeleteWala usipate shida wewe angalia vichwa tu utamuona.
ReplyDeleteMashaa Allah Mama Salma kapendeza kuliko wooooooooooooooooooooote.
ReplyDeleteSwali, na huyo wa tatu toka kushoto ni.. wa rais. Mama Salma anapendeza sana kila siku.
ReplyDeletemacho yangu hayaoni, hivi wote hawa ni wake wa wakuu wa nchi, watatu toka kushoto ilikuwaje awe kwemye picha hii?
ReplyDeleteYule jamaa pale anawakilisha nini ? Wale ni wake wa maraisi sasa mbona anaweka doa ? Mchuzi toa picha hiyo weka nyingine kwa the same message laasivyo ongeza maneno umtambulishe huyo jamaa ! ATAKUELEWA.
ReplyDeleteIna maana ni picha ya partners au other halves ya marais. Sijui interpretation yake kwa kiswahili ila namba Tatum toka kushoto ina maana mkewe ndio raisi. Maybe kichwa change habari kingekuwa wake / waume za marais
ReplyDeleteMama yetu umependeza sana MAshaALLAh
ReplyDelete