NAIBU Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Kawe, Athumani H. Athumani, alipofunga semina ya Wenyeviti wa CCM kutoka kata 31 za wilaya ya Kinondoni, mjini Dar es Salaam, leo Novemba 7, 2013 mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge na wengine kutoka watatu kushoto ni, Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa, Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida na Katibu Mwenezi Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba. (Picha na Bashir Nkoromo)
Home
Unlabelled
MWIGULU AFUNGA SEMINA YA WENYEVITI WA CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...