Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Daniel Ole Njooley,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Daniel Ole Njooley,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...