Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa (mwenye nguo nyeupe) kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa wakati alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyeji wake,Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pindi alipokuwa akiondoka kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi tunaona ugumu gani wa kuwa na vazi a taifa kwa wengine ni rahisi.

    Ama tunaogopa kuchekwa.
    Vazi la taifa ni kwa ajili yru sio kuapendeza wengine.


    It must be simple yet sophisticated...wabunifu wa mavazi tunao wengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...