Princess Haifa Bin AbdulAzizi Mogrin of Saudi Arabia looks at a bust of Mwalimu Nyerere when she visited the Tanzania National Parks Headquarters in Arusha and held talks with the Management of TANAPA regarding the forthcoming youth forum on Biodiversity Conservation
scheduled for January next year in Arusha.
Princess Haifa Bin AbdulAzizi Mogrin of Saudi Arabia signs the guest book when she visited the Tanzania National Parks Headquarters in Arusha
Princess Haifa Bin AbdulAzizi Mogrin of Saudi Arabia talks with the Director General of
TANAPA Mr Allen Kijazi regarding the forthcoming youth forum on Biodiversity Conservation
scheduled for January next year in Arusha.
Binti mfalme wa Saudia, nchi ya kiislamu bila hijabu
ReplyDeletePrinces Haifa bin Abdulaziz! Nilidhani bin inatumika kwa wanaume tu na binti kwa wanawake kumbe kwa familia ya kifalme ni tofaut!
ReplyDeletesesophy
The good thing about God,He looks our heart.but men always look outward. or bint mfalme wa saudia bila hijabu. who cares.
ReplyDeleteMdau wa kwanza mimi nilidhani utawaza juu ya twiga, swala na wengineo hasa ukizingatia historia.....Acha kutazama vichwani tazama maliasili kwani ndio urithi wako wewe...
ReplyDeleteEti. Au ndio maendeleo? Or because she is a princess so is exempt from wearing hijab? We need answers.
ReplyDeleteAcheni ujinga hijab ni vazi la lazima kwa kila mwanammke wa kiislam haijalishi if u re a princess or not. Na mdau hapo juu amelizungumzia kwa vile huyu ni binti wa kiislam period.
ReplyDeleteha ha ha utakuta kasoma marekani ka hiyo keshakua influenced na utamaduni makini wa magharibi .... mbona hao maprince wanapiga suits na sio kanzu? ... acheni kunyanyasa wanawake!
ReplyDeleteHuyu princess nimemtamani sana, kazuri kweli kabinti, halafu sasa kanajua ya kwamba kamekolea, mweee!,......, Haifilisi Duka.
ReplyDelete