Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe Jowika Kasunga akifungua semina ya siku moja ya maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye hotel ya Naura Springs jijini Arusha
Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA injinia Aneth Matindi akisoma taarifa ya mamlaka hiyo mbele ya waalikwa walioshiriki semina hiyo iliyoenda sambamba na maadhimisho ya miaka kumi ya mamlaka hiyo kwenye hotel ya Naura Springs jijini Arusha.
Washiriki wa semina ya siku moja ya maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye hotel ya Naura Springs jijini Arusha
Wadau katika semina ya siku moja ya maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye hotel ya Naura Springs jijini Arusha
Picha ya pamoja ya wadau wa mawasiliano wakiwa na mgeni rasmi MheJowika kasunga na Meneja wa mamlaka hiyo kanda ya kaskazini injinia Aneth Matindi Picha zote na Mahmoud Ahmad wa Globu ya Jamii, Arusha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...