Joh Makini
akiwapagawisha wanachuo waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion
Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club ambalo lilishirikisha
wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.
Msanii wa musiki wa kizazi kipya Joh Makini
akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki saba 700,000 mshindi wa upande
wa ubunifu wa mavazi Rogasian hipolite toka chuo kikuu cha Mwenge kwenye
tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars
Club.
Mwakilishi
wa kampuni ya bia nchini TBL kanda ya kaskazini Mwamba Stanslaus akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi
laki tano 500,000 mshindi wa upande wa Mavazi Nyanda Ikombe toka chuo kikuu cha
USHIRIKA kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi
wa Gleciars Club.
Katibu wa
kamati ya maandalizi ya Uhurumarathon 2013 Innocent Melleck akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi
laki nne 400,000 mshindi wa pili upande wa ubunifu wa mavazi Joyce Mchomvu toka
chuo kikuu cha Ushirika kwenye tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika
katika ukumbi wa Gleciars Club mjini Moshi mwishoni mwa Wikend.
Sehemu ya wadau waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo la Redd's Uni Fashion
Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club mwishoni mwa wiki,huku wakikunwa vilivyo na msanii wa muziki wa kizazi kipya Joe Makini,tamasha hilo lilishirikisha
wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA






Msaada tutani! Kwa upeo wangu mdogo mimi nilidhani vyuo ni sehemu ya kupanua elimu na kupata wataalamu bora, haingekuwa jambo bora tungekuwa na shidano la wanavyuo bora badala ya wanamitindo bora?
ReplyDelete