Baadhi ya wadau waliohudhuria mkuatano huo wakifuatilia mada mbalimbali zilizowakilishwa katika mkutano wa wadau wa mfuko wa taifa wa bima ya afya mkoa wa arusha tarehe 8/11/2013
Baadhi ya viongozi wa mkoa na wilaya waliohudhuria mkutano wa wadau wa mfuko wa bima ya afya mkoa wa Arusha tarehe 8/11/2013.
Dr.Peter Nyakubega akiwa katika zoezi la upimaji afya katika siku ya wadau wa NHIF iliyofanyika tarehe 8/11/2013 mjini Arusha.
Mgeni rasmi Mhe. Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Arusha (RAS,Mama Itanisa,RMO Dr. Mokiti ) Wakurugenzi wa NHIFna baadhi ya watumishi wa ofisi ya NHIF mkoa wa Arusha.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...