Home
Unlabelled
Sintofahamu ndani ya CHADEMA: Na Maoni,Ushauri kwa Wahusika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mchungaji school mate wangu Mndeme naona umeguswa na matukio ya chama chetu.Waswahili twasema DAMU NZITO KULIKO MAJI..maskitiko yangu tu ni kwamba waraka wako ni mrefu na wabongo hawatasoma kwakua ni wavivu sana wakusoma.
ReplyDeleteAnyway;pole sana mchungaji Mndeme kwa yanayokikabili chama chetu.
Ulaa mlokuwa wote Ilboru.
Asante sana kaka mathew kwa taarifa nzuri yenye kueleweka hakika uliyoyasema ni sahihi na nadhani yanapaswa kufuatiliwa kwa ustawi wa chama.
ReplyDeleteHahahaaa...Kaka Ulaa mbona wanipa uchungaji hadharani wakati hata Michuzi hakijui hicho cheo?
ReplyDeleteMimi ni mtanzania na muumini wa dhana ya uongozi bora (nadhani walijua hilo). Naitazama siasa kama chachu ya kuiweka dhana ya uongozi katika vitendo. Sisi sote kama watanzania ni sehemu ya siasa za nchi yetu maana kodi zetu za tumika kuvipa vyama hivi ruzuku za kujiendeleza...hivyo maoni yangu yanatokana na ukweli kuwa vyama hivi ni taasisi za umma sisi kama umma twaweza kuvishauri au kutoa hisia zetu juu yao.
Hivi hili swala la watanzania kuwa hatupendi kusoma litakwisha lini? tutaendelea kua hivyo hadi lini? Na hatupendi kusoma vitu virefu kwa sababu tunakimbilia wapi au tunawahi nini?