Pichani upange wa kulia ni Mnyama aina ya Palahala (jamii ya Swala) akila majani sambamba na Ndege aina ya Mbuni kama walivyonaswa na Kamera ya Globu ya Jamii katika Hifadhi ya Asili ya Simba na Kifaru,iliopo kwenye mji wa Gauteng nje kidogo ya Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Hii ni kazi nzuri inayofanya na Bodi ya Utalii nchini humu,kwa hata wanyama pia wanapendana.
Swala wa Afrika Kusini
Twiga.
Pundamilia na Swala.
Palahala na Pembe zake Mwanana.
Nyumbu a.k.a Msosi wa Simba.
Mbuni.
Asante sana kwa Picha blog ya jamiii.Mlijaribu kuwauliza wahusika kwanini hao TOPI (picha pili kutoka juu)wamekonda kiasi hicho?Nadra sana kuwakuta wamekonda kiasi hicho.
ReplyDeleteDavid V