Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akiwaonesha moja ya namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda" kwa Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid(Kushoto)na Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Emmanuel Ndaki.Wakati wakichezesha droo ya promosheni hiyo,jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana na umuhimu wa watanzania na wateja wa Vodacom kushiriki katika Promosheni ya "Timka na Bodaboda"Jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa Wengine kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw. Emmanuel Ndaki.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.
Ofisa wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Rashid Maggi(kushoto)Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw. Emmanuel Ndaki(kulia)wakifurahia jambo wakati Meneja Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akizungumza na mmoja wa washindi wa Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na kampuni hiyo.Jumla ya washindi(125)wamejishindia Pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni (70)zimenyakuliwa.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...