Home
Unlabelled
Treni ya mwakyembe...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
waangalieni wa ethiopia wanatushinda sana sasa hivi wanafanya vitu vikubwa vyenye maendeleo.treni mpya za ethiopia.http://www.youtube.com/watch?v=Q8OWYNBXzJQ
ReplyDeleteAksante mjomba Michuzi kidogo kidogo tutafika tu ila mwambie hayo yamepitwa na wakati,,jamani huyu Mwakyembe yuko makini sn ila nashangaa why haji na mambo ya kisasa tena ashatembea mpaka Japan lakini bado tu hajifunzi toka kwa wa Japan,,ila namuheshimu sn kwajinsi anavyo wajali watanzania wa hali ya chini,ni mm ndugu yenu The Mdudu kakakuona.
ReplyDeleteMungu wangu.....huyu jamaa alieshika matambaa ndio anatoa ishara kwamba treni inakuja gari zisimame??????Yaani badala ya automatic traffic light....?????Hapana nilipanga kurudi mwakani ..naona ni bora nivute tena mwaka mwengine....2015.
ReplyDeleteSafi sana, good initiative on Mwakyembe's part, simply because if he did not initiate this ingekuwaje?
ReplyDeleteWewe unayesema eti unahairisha kurudi nyumbani kwa sababu hakuna electronic traffic lights huna mpango wowote wa kurudi in the first place! Kaa hukohuko, hatuitaji waTZ wenye upeo mdogo kama wako warudi nyumbani!!
kweli bado usafiri wa treni unachanga moto sana,mawaziri wengi waliopita weamekosa ubunifu wa kufufua miundo mbinu ya treni lakini mwakyembe siku moja aliniambia kuwa alitumia 4 billion kuifufua hii treni ambayo ilikuwa imekufa kabisa na ilitakiwa iuzwewa kama chuma chakavu,lakini alipata kiburi cha kufufua
ReplyDeletemimi binafsi inanisaidia sana kwani uwa natumia 25 mins kutoka kwangu tabata mpaka city centre ,before nilikuwa three hours mpaka nifike ofisini kwa umbali wa 14 km sababu ya foleni na miundombinu mibovu
Hongera Mwakyembe, huo ni mwanzo mzuri sana. Nashauri hata huu wa Mabasi yaendayo haraka ubadilishwe matumizi na ziwekwe tram,(trenindogo za umeme), yaani vile vitu vizuri tuvionavyo ughaibuni tutamani nasi kwetu tuwenavyo.
ReplyDeletewewe uliepanga kurudi 15 bora usije kabisa kwani umeifanyia nini tz tuko ulivyoenda huko uliko!! big up mwakyembe umekua msaada mkubwa kwa watu wa ubungo na tabata,sasa wewe uje uweke taa,
ReplyDeleteHuu ni mwanzo treni hizi zinakidhi haja, baada ya muda tunahitaji trams mijini na treni mpya mikoani. Hayo ni matarajio yetu ya siku za usoni lakini katika kizazi hiki hiki.
ReplyDelete