Tamasha la 11 la AZAKI limemalizika rasmi usiku wa kuamkia leo kwa dhifa ya
utoaji tuzo kwa AZAKI Bora, iliyofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl,
Ubungo Plaza, jiji Dar es Salaa ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu.
Kushoto ni Mh. Ummy Mwalimu( Naibu Waziri, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ) Akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya kuelimisha Athari za Madawa ya Kulevya UKIMWI na Mimba Katika Umri Mdogo Ya Pemba- Mshindi, Asasi Bora 2013
Mh. Ummy Mwalimu( Naibu Waziri, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto) na Dk. Stigmata Tenga- Rais wa FCS, katika picha ya pamoja na ashindi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...