Ankal akiwa na wacheza ngoma za utamaduni aina ya 'Ves' wa Sri Lanka jijini Colombo katika mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CHOGM). Wacheza ngoma hawa hujulikana kama Kandyan, ambapo mavazi yao yana aina 64 ya urembo. Huchukua miaka kadhaa kabla ya mtu kufuzu kuitwa mcheza Ves.
Home
Unlabelled
Utamaduni wa sri lanka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankali kazi unayo!
ReplyDeleteJe, utaishia wewe kufundishwa kucheza ngoma zao tu?
Na wewe Ankal ulitakiwa uvue hiyo suti yako pia ktk begi lako la Laptop ilikuwa uweke vifaa usafiri na Kaniki ya kuvaa kiunoni, ngozi ya mbuzi, mkia wa ng'ombe na mapembe ya mbuzi ili uwafundishe kucheza Lizombe na Tokomile ngoma za Tanzania!!!
Ankal hawa jamaa wa kushoto na kulia
ReplyDeletesio wale akina Henriko na Roy wa hapa chang'ombe ? wamefanana watu wawili wawili kweli