Maandalizi ya uzinduzi wa huduma za UmojaSwitch ATM na Benki ya Ushirika ya Kilimanjaro iliyopo Moshi mjini.
Mama Makwabe ambaye ni Meneja Mtendaji akifungua sherehe za uzinduzi wa huduma za UmojaSwitch ATM. Pembeni ni viongozi wa Bodi ya benki hiyo waliofika kuadhimisha uzinduzi huo wa huduma za UmojaSwitch ATM na UmojaSwitch mobile banking.
Mwenyekiti wa bodi ya benki ya ushirika ya Kilimanjaro akifungua rasmi UmojaSwitch ATM .
Mwakilishi toka UmojaSwitch Bw.Uswege Mwaipyana(Meneja wa operesheni) akitoa hotuba fupi kuhusu mtandao na ushirikiano wa UmojaSwitch na mabenki hapa nchini, kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama.






Uswege on the move.... go on brother.
ReplyDelete