UZINDUZI WA REAL UNIQ TZ WAFUNIKA JIJINI DAR

 Mkurugenzi Fabak Fashion, Asia Idarous Khamsin akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Real Uniq Tz jijini Dar es Salaam jana usiku. Uzinduzi huo ambao ulijaza umati wa watu katika ukumbi wa Samaki Samaki uliopo mtaa wa Samora.
Kampuni hiyo itakuwa inashughulisha na shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utengenezaji wa Matangazo ya Biashara, Modeling/Mitindo Uratibu wa Shughuli mbalimbali pamoja na Mabausa. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...