Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji kwenye hotel ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es salaam dNovemba 27, 2013. Kulia ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiambatana na Wazri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TIbaijuka baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Blue Parl , Ubungo jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Kwanza wa Watalaamu wa Bodi ya Mipangomiji Novemba 27, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...