Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hotuba nzuri.Design ya Nyerere hotuba zake hazichoshi na ni mtu wa vitendo('Jembe').CCM mnaweza kumsimamisha huyu 2015 ili "kurahisisha kazi".

    David V

    ReplyDelete
  2. Tunaomba uweke na kipande alichohutubia Rais Dr. Jakaya Kikwete.

    ReplyDelete
  3. Wachina ni vibarua wa wanachi hela zimetoka kwenye jasho la wanachi nguvu ya mtu mmja mueshimiwa hata ni nguvu ya umma,

    ReplyDelete
  4. Magufuli ni kiboko, sasa si akuachie 2015! haya umeongea vizuri bilá hata ya kusoma sehemu kama wengine wanavyofanya! nimecheka Rwanda kulima juu ya lami....Tanzania yetu ilivyo kubwa Mungu aibariki na watu wake.

    ReplyDelete
  5. Magufuli ni jembe la Ng'ombe.Serikali ya kikwete inazidi kuheshimika kwa ajili ya watendaji wachache kama JK mwenyewe,Mh Pombe ,mh Mwakyembe, basi sijui kama kuna mwingine ila kazi yenu ni chachu ya serikali. ila hata mimi nasema watanzania watamkumbuka Raisi huyu kafanya mambo ya maana sana labda sambamba na serikali ya Baba wa taifa.

    ReplyDelete
  6. Msaada tutani tunaomba kufahamishwa tafsiri ya maneno ya kigeni aliyoanza nayo Mh.

    Ilikua ni lugha gani na alizungumza nini.

    ReplyDelete
  7. Magufuli ni mchapa kazi jamani na anastahili kupongezwa.Pia tusimsahau raisi wetu kwa kazi nzuri anazozifanya bila kuweka mambo ya vyama mbele.
    Tanzania hoyeee!!!!!!!!!!!!1
    Tunaomba utuwekee na hotuba ya raisi wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...