Timu ya Taifa ya Zanzibar imeifunga timu ya Taifa ya Sudan Kusini 2-1katika mchezo wa ufunguzi ambao umefanyika katika uwanja wa Nyayo Nairobi katika mashindano ya CECAFA 2013.
Sehemu ya ujumbe wa maafisa kutoka ubalozi wa Tanzania Nairob i. Kutoka mbele waliokaa ni Bwana Musa Masoud, Brig.gen. milinga, Bibi Beatrice Mwambene, SACP Mongi, Innocent Shiyo na Mwakasege .
Vijana wa timu ya Taifa Zanzibar wakipata maji baada ya mchezo
Mchezo ukiendelea
Kocha wa Kilimanjaro Stars akifuatilia mchehezo huo kwa makini akiwa na afisa wa TFF. Leo timu yake inacheza na Zambia
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...