Ankal akiwa mbele ya sanamu kubwa ya shaba ya Mzee Madiba katika Mandela Square Sandton City jijini Johannesburg Julai 2010.
Ankal akiwa katika sebule ya nyumba ya Mzee Madiba huko Soweto alikotembelea hio Julai 2010 kumuenzi shujaa huyu wa Afrika ambaye anamtaja kuwa ni mtu aliyempenda na kumheshimu kwa kuwa mfano wa kuigwa na binadamu yeyote, hasa kwa sera yake ya YALIYOPITA SI NDWELE, TUGANGE YAJAYO iliyomuwezesha kufanya watu wa Afrika Kusini kusahau chuki iliyokuwepo kati ya weupe na weusi na kujenga taifa moja kwa moyo mmoja bila kubaguana.
MOLA AIWEKE MAHALA PEMA
PEPONI ROHO YA MZEE MADIBA
AMIN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...