Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza na Bi. Jacqueline Mneney Maleko Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) alipomtembelea ofisini kwake Dar es salaam kushauriana naye masuala mbalimbali ya kusaidia kuongeza mauzo ya Tanzania katika soko la Ulaya.
Home
Unlabelled
Balozi Kamala Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
We balozi mbona humkaribishi mgeni kahawa na korosho? au mgeni yupo kwenye diet, basi alau maji ya kunywa.
ReplyDeletechoyoooooooooooooooooo
ReplyDeleteWadau No.1 na No.2 hamkusoma vizuri hapo?
ReplyDeleteYeye Balozi ndiye amekaribishwa Ofisini na Mkurugenzi wa Biashara Jacquilen Maleko!
Mhe.Balozi Diodorus B. Kamala ni MGENI
Madame Jacquiline Maleko ni MWENYEJI
Hivyo Mwenyeji ndiye aliyempatia Balzoi Kamala Kiburudisho Chai/Kahawa na Korosho!
Mpo hapo?
Katika Watendaji wa Tanzania Safu ya Mabalozi nawakubali Mabalozi Peter Kallaghe wa UK, Mama Liberata Mulamula wa US na pia zaidi mkubali sana huyu Mhe.Balozi Dakitari Diodurus Bubelwa Kamala!
ReplyDeleteAnachapa kazi sana, na ni Mzalendo saaana!