IMG_4237
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CFAO Motors Wayne McIntosh akizungumza kwenye utambulisho rasmi wa gari jipya la Grand Cherokee (JEEP) 2014 wakati wa uzinduzi rasmi.
Bw. McIntosh amesema gari hiyo imezinduliwa wakati kampuni ya CFAO Motors ikitimiza miaka 10 ndani ya soko la Tanzania ni gari ambayo inatumika muda wote wa hali ya hewa na nzuri wakati wa foleni na Teknolojia yake ni rahisi kutumia wakati wote wa safari katika jiji la Dar es Salaam.
MBU_0807
Pichani juu na chini ni wanenguaji kutoka Maendeleo Dance Group ambao walikuwa wakiburudisha wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo.
MBU_0809MBU_0840
Sasa imezinduliwa rasmi.......Gari aina ya JEEP Grand Cherokee 2014 ni FWD System, 8 Speed Automatic with Electronic Shift, na injini  yake ni 5.7 V8. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...