Mmoja wa wadau wakubwa wa kilaji cha Heineken akipata kitu chake mwanana kabisa ndani ya Banda la Heineken wakati muendelezo wa Tamasha la Nyama Choma,lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Posta,jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Muigizaji wa Filamu nchini,Baby Madaha akiwa pamoja na Marafiki zake wakiburudika na kilaji cha Heineken ndani ya Nyama Choma.
Marafiki wakiweka pose ndani ya Nyama Choma Festival
Mambo yalinoga kweli kweli siku hiyo ndani ya Banda la Heineken.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...