Picture 019
Aliyekuwa Miss Tanzania 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza.
Picture 018
Hoyce Temu akipata Ukodak na Mdau wa tasnia ya habari nchini.
Picture 013
Hoyce Temu katika pozi na marafiki zake mara baada ya kulamba Nondozz.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongera lulu na christina pia

    ReplyDelete
  2. Hongera saaana Hoyce!

    At last na wewe umepata kinacho stahili @ St. Augustine University baada ya kubaniwa miaka ile ukisoma ya Umiss wako na UDSM !

    ReplyDelete
  3. Eti miaka ile ya 1999 na 2000 tunaambia na UDSM Dada yetu mwenye uwezo wa juu tu kiuelewa kama tunavyoona vitu vyake Kitaaluma ya kuwa HANA UWEZO KIMASOMO!

    Hivi mtu Kilaza anaweza kufanya mambo kama anayo yafanya Hoyce Temu (Mfano MIMI NA TANZANIA) tena kabla ya hii Digrii?

    Elimu ya Tanzania kuanzia Chini hadi Juu ilishaanza kuwa na walakini miaka mingi nyuma!

    ReplyDelete
  4. Hongera Ms Temu, I admire your TV programme. Unapigania haki za watu, you are a champion to me.
    Congrats again.

    Mdau - Sydney

    ReplyDelete
  5. Watanzania wanakazana kujaza mavyeti hali ya kuwa elimu zao hawajazoitumia hata kidogo. Kwa hakika ningeweza kutumia hata asilimia 20 ya elimu yangu ndogo ya digrii,bila shaka ningeweza kutatua matratizo ya wananchi wa eneo langu kwa asilimia 50. Sasa nimetoa ajira kwa wananchi 200 wa eneo langu na wengine 33 kutoka maeneo mbaimbali. Kwa muda wa mwaka mmoja tu tangu nimalize digrii mzumbe ya uhasibu na fedha.Bado mambo mengi ya walimu wangu sijayatumia.Nawaombeni ndugu zangu tusome kwa lengo la kutatua matatizo ya jamii zetu.

    ReplyDelete
  6. Mimi namjua Hoyce kuanzia akiwa Arusha Sekondari... Ni mtundu wa kupindukia! Alipata degree yake ya kwanza Arizona State University ya Journalism and Mass Communications in 2006,na Akapata Post Graduate degree chuo cha diplomasia katika mambo ya Foreign Relations Management mwaka 2011 na juzi amepata masters yake pale Saint Augustine University ya Mass Communications. Hii inamfanya anakuwa Miss Tanzania wa kwanza msomi zaidi akifuatiwa na Shose Sinare.

    ReplyDelete
  7. wewe umekurupuka hakusoma arizona alikuwa iowa.

    ReplyDelete
  8. Alianza Iowa - Wartburg College for two years, akahamia Arizona State Univ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...