Home
Unlabelled
KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA CHUNYA ALIVYOACHIA NGAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uchujaji wa mchele na pumba unaendelea kujipambanua, tutawaona wengi.
ReplyDeletenjaa tu hiyo anatangatanga
ReplyDeleteMdau wa 1 na wa 2 juu:
ReplyDeleteJamaa ametumia akili sana, meona Chadema kwishneyy huyoooo maeamua kula kona kabla Chama hakija kula mweleka!
Hivi 2013 Uraisi wenyewe bado NDIO GOMBANIA GOLI NA SAKA NYOKA NAMNA ILE NDANI YA CHAMA !, je ifike 2015 si ndio Chama kitakufa rasmi?
Huyo aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema aliyehamia CCM ni Bonge la JINIAZI!
ReplyDeleteNI wazi amegundua akaona awahi chake mapema kabla Mwembe ulioliwa na mchwa kwenye shina lake (Chadema) haujaanguka !
Wadau juu 1 na 2 jamaa ametumia akili sana kwa Uamuzi wake!
ReplyDeleteHivi hamuoni jinsi Chadema inavyo kwenda hali jojo?