Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake wakisalimiana wananchi na wanachama wa CCM wakati wa mapokezi Igawa, alipoanza ziara ya kuimarisha uhai wa chama katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya asubuhi leo.
Kinana akikata utepe kuzindua jengo la ofisi za CCM Tawi la Ihanga, wilayani Mbarali leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake wakizungumza na Wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya asubuhi leo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...