Kikosi cha Pan African mwaka 1988. Wenye kujua majina yao msaada tutani tafadhali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Waliosimama toka kushoto,Athmani Kilambo(coach)Juma Matokeo,Adolf,Kassim Manara,Mkweche,Ally Ysuf,Nondo Mikidadi(Louis Pereyra)na Juma pondamali(Mensah)Mstari wa mbela,Nimemsahau,Muhaji Muki(Mukde)Omari Kapera(bob Astros)Juma Shaban(uncle j)Godian Mapango(Baby)Mohd Tostao na Baba Manara(Bapo)Hii Ilikua nyuma zaidi sio 1988

    ReplyDelete
  2. Nadhani hii ilikuwa Pan African ya Mwaka 1981 miaka 5 baada ya kumeguka Mwaka 1976 kutoka Yanga.

    ReplyDelete
  3. Waliosimama toka kushoto,Athumani Kilambo(coach)Juma Matokeo,Mohamed Adolf Rishard,Kassim Manara,Mohamed Mkweche,Ally Yusuf,Nondo Mikidadi na Juma Pondamali(Mensah)Mstari wa mbele,Simkumbuki,Muhaji Muki(Lindi)Omari Kapera(kifua wazi)Juma Shabani,Gordian Mapango,Mohamed Yahya Tostao na Kitwana Manara Popat

    ReplyDelete
  4. 1.Juma Pondamali
    2.Mkweche
    3.Jeffery Abraham
    4.Legder Tenga
    5.Jella Mtangwa
    6.Aldof Rishaad
    7.Kassim Manara
    8.Yahaya Tostao
    9.Ali Katolila
    10.Juma Buruhani
    11.Godian Mapango

    Wengine (Ally Yusuff,Peter Tino, Idd Chama)I was only 11years old but I still have good good memory of them.
    Mdhamini wao alikuwa Mzee Mangara Tabu Mangara. That was my football team.

    ReplyDelete
  5. Waliosimama toka kushoto. Marehemu Athumani Kilambo(Coach), Marehemu Juma Matokeo, Mohd Rishard Adolph, Kassim Manara, Mohd Mkweche, Iddi Msakaa(Ali Yussuf), Mikidadi Nondo, Juma Pondamali- Viongozi.
    Waliochuchumaa toka kushoto - Gossage Mrisho, Peter Tino, Omar Kapera, Muhaji Mukki, Gordian Mapango, Mohd Yahya Tostao na Kitwana Manara.

    ReplyDelete
  6. Used to be my favorite team. I wonder if this team still exist, and why they can not come back and be on top up there.

    ReplyDelete
  7. One of the best team in those days when Tanzanian football was played by real men.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...