Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha rambirambi kwenye Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima zake baada ya kusaini kitabu cha rambirambi kwenye Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. kushoto ni Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Henry Thanduyise Chilize.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza ya Ubalozi wa Afrika ya kusini Masaki jijini Dar es salaam leo Disemba 6-2013, wakati alipofika kwa ajili ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) kilichotokea jana usiku nyumbani kwake Houghton, Jouhannesburg. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...