Baada ya serikali kukataa kupokea barabara ya Kilwa Road jijini Dar es salaam iliyojengwa chini ya kiwango, ujenzi mpya umeshaanza kwa gharama ya mkandarasi mwenyewe.
Home
Unlabelled
MATENGENEZO YA BARABARA YA KILWA ROAD ILIYOJENGWA CHINI YA KIWANGO YAANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nimefurahishwa sana na hii habari, it's time tuwe serious na ujenzi wa nchi yetu, uzalendo wa namna hii ndio utakao tupatia maendeleo ya kweli. Safi sana.
ReplyDelete