Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KHERI MHESHIMIWA RAIS KUTEMBELEA HOSIPITALI UKAJUA HALI ILIVYO, ALIYETUUMBA AKUSAIDIE

    ReplyDelete
  2. Nijambo jema Dkt,Jakaya mrisho Kikwete alipotembelea hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Mhe.Raisi kama utapata wasaa ungetembelea pia Magereza yetu ya wafungwa

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli Mhe.Raisi Kikwete amevutiwa na dogo amebaini Kijana licha ya kuumwa Hospitalini lakini angali na moyo wa Kizalendo kwa kuvaa Fulana yenye kutambulisha Utanzania wake!

    Uzalendo huenda kwa vitendo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...