JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
HERI YA MWAKA MPYA 2014
Bodi ya Wadhamini na Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF inawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2014. Tunapenda kuwashukuru kwa kuwa nasi katika kipindi cha mwaka 2013 na tunaendelea kuwakumbushia Watanzania wote walio ndani au nje ya nchi na wageni wanaofanyakazi nchini kujiunga na PSPF ili kujiwekea akiba ya baadae.
“JIUNGE NA PSPF UBORESHE MAISHA YAKO YA SASA NA BAADAYE”
Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...