Home
Unlabelled
hapo vipi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, hivi enzi hizo tulikuwa tunahitaji visa kuingia UK?
ReplyDeleteHapo ukisimama lazma jamaa wakumwagie zege :)
ReplyDeleteMradi kimefahamika kilichokusudiwa kuelezwa, sasa usiye na macho kajisimamishe hapo ushuhudie kitakachotokea.
ReplyDeleteSina mashaka na kusimama au kutosimama ila mashaka yangu yako kwenye tafsiri! Nadhani badala ya kuanza na 'Its' neno sahihi lilipasa kuwa 'It's', tunaelewana hapo?
ReplyDeleteJifanye haujaelewa tangazo; nenda usimame hapo; uwe na washikaji zako ili mpige story. Baadaye utasiulia maishani
ReplyDeleteHapo sawa.
ReplyDeleteMakosa ya Angalizo hilko ni kuwa NI LAZIMA IJULIKANE ANAYETOA AMRI HIYO NI NANI?
ReplyDelete-NI LAZIMA JINA LIWEPO
-NI LAZIMA NEMBO YA TAASISI INAYOTOA AMRI HIYO IWEPO
Ili ieleweke kama Amri inatolewa na Mmlaka gani, kama ni Kampuni ya Ujenzi ama Manispaa ama Serikali.
Inawezekana Amri inatolea na Wauza Bangi au Madawa ili kuondoa Kiwingu waendelee na Biashara!
ReplyDelete