Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ankal, hivi enzi hizo tulikuwa tunahitaji visa kuingia UK?

    ReplyDelete
  2. Hapo ukisimama lazma jamaa wakumwagie zege :)

    ReplyDelete
  3. Mradi kimefahamika kilichokusudiwa kuelezwa, sasa usiye na macho kajisimamishe hapo ushuhudie kitakachotokea.

    ReplyDelete
  4. Sina mashaka na kusimama au kutosimama ila mashaka yangu yako kwenye tafsiri! Nadhani badala ya kuanza na 'Its' neno sahihi lilipasa kuwa 'It's', tunaelewana hapo?

    ReplyDelete
  5. Jifanye haujaelewa tangazo; nenda usimame hapo; uwe na washikaji zako ili mpige story. Baadaye utasiulia maishani

    ReplyDelete
  6. Hapo sawa.

    ReplyDelete
  7. Makosa ya Angalizo hilko ni kuwa NI LAZIMA IJULIKANE ANAYETOA AMRI HIYO NI NANI?

    -NI LAZIMA JINA LIWEPO
    -NI LAZIMA NEMBO YA TAASISI INAYOTOA AMRI HIYO IWEPO

    Ili ieleweke kama Amri inatolewa na Mmlaka gani, kama ni Kampuni ya Ujenzi ama Manispaa ama Serikali.

    ReplyDelete
  8. Inawezekana Amri inatolea na Wauza Bangi au Madawa ili kuondoa Kiwingu waendelee na Biashara!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...