Pump ya Solar — Bei ni Tshs 5m wakati bei ya dukani Tshs 8.6m
1. Pump yenye uwezo wa lita 3,000 kwa saa
2. Ina Solar Panel 6 kila moja watts 80 bure
3. Gurantee ya miaka 5
4. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na shambani
5. Vyuma vya kufungia solar juu ya paa BURE
6. Installation ya pump na Solar BURE
Solar Panel 3 - Bei ni Tshs 1.2m wakati bei ya dukani Tshs 2.4m
1. Solar Panel 3 @ 150 Watts
2. Zimetumika kwa mwaka mmoja tu
3. Gurantee ya miaka 5
4. Kila Moja Only Tshs 500,000
5. Installation bure…
6. Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na shambani
Vifaa vyote viko poa vinauzwa kwa sababu nimepata umeme wa Tanesco
Mdau anapatikana Dar es Salaam wasiliana nae kwa 0757 245 750 au 0788 880 096
You cant be serious! Unaacha solar kwa umeme wa Tanesco? Mimi naukimbia umeme wa Tanesco niende solar.
ReplyDeleteKwahivyo umeme wa TANESCO ni bora kuliko SOLAR POWER!!
ReplyDeleteMbona namba zenyewe za simu hazipatikani, wabongo hatupo makini kabisa katika mambo ya biashara. Au mgao wa umeme simu hazina chaji
ReplyDeleteNinakushangaa watu tunaondoka TANESCO kwenda solar wewe unauuza, au vibovu hivyo...?
ReplyDeletemmmh nina mashaka na hizo solar sio akili ya kawaida kuuza solar kwa ajili ya umeme wa tanesco hii hii ya kibongo mmmh baadae sana
ReplyDeleteHii ngumu kumeza! Unauza ghorofa lako kwa nusu bei, ili ununue VW beetle?
ReplyDeleteJamani naomba kuelimishwa-
ReplyDelete1. Ninaweza kutegemea solar tu ILI nisihangaike na Tanesco?
2. Solar inaweza kipiga Pasi? Au kufanya kazi zote zinazofanywa na umeme?
3. Kuna wiring inatakiwa Kwenye nyumba iwapo utatumia umeme wa solar? Au nyaya ni hizo hizo?
4. Ina life span? Kama ndio ni ya muda gani? N
Natafuta uwezekano wa kuachana kabisa na kichefuchefu cha umeme wa Tanesco!