Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi Mdogo katika Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, Ndugu Omary Mjenga alipomtembelea ofisini kwake,ambapo walipata fursa ya kuzungumzia jinsi Ubalozi Mdogo unavyoweza kusaidia kuutangaza Utalii wa Tanzania katika soko kubwa lililopo Dubai.
Wakipata picha ya pamoja mara baada ya Mazungumzo yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mdau OMAR MJENGA,

    Endelea kutuwakilisha UAE baada ya kumaliza kazi Afrika ya Magharibi!!!

    ReplyDelete
  2. The mdudu,,mambo ya kuuza sura hatuzitaki tena n tena,,tembo tembo tembo jamani wanazidi kwishaaaaa hiyo oporesheni mlioisitisha tunataka muiludishe haraka sn,,natunataka kuona tunaipita Kenya kwenye mambo ya Kiutariiii na sivinginevyo coz hii ni aibu kubwa sn kanchi kama kale katupite kwakila kitu mmeaminiwa na mheshimiwa Rais na ni kijana sn ww so tunataka kukuona unautumia ujana wako wenyekujua kabisa yakwamba wakenya wametuzidi kwenye hayo mambo

    ReplyDelete
  3. Ni kweli the Mdudu!

    Tutakuja shangaa kuona tembo wooote wamekwisha.

    ReplyDelete
  4. WEWE WA PILI naona hufuatilii takwimu. Takwimu za utalii kwa Afrika mashariki Tanzania ni ya Kwanza kwa pato litokanalo na utalii la USD 380.6M ambapo watalii 6.7m ndio wametembelea vivutio mbalimbali. Na juzi nilikuwa nasikiliza mahojiano na wananchi juu ya tembo waliokutwa wameuawa maeneo ya kenya,kwa taarifa yako kenya bado hawajagundua kuwa ni tatizo maana wanachi wanasema wakikutwa wameuawa wapewe nyama zisitupwe.kuthibitisha haya nakuomba kusubscribe Ntv na ucheki taarifa za juzi jumanne.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...