DHORUBA:MELI YA KILIMANJARO II,ILIYOKUWA IKITOKA PEMBA KWENDA UNGUJA ILIPATWA NA DHORUBA MAPEMA LEO ENEO LA NUNGWI BAADA YA INJINI KUZIMA,HAKUNA ALIYEKUFA.INAAMINIKA ABIRIA WAPATAO 10 WALIPANIKI NA KUJIRUSHA BAHARINI ILI KUJINUSURU NA WANAENDELEA KUTAFUTWA.
HABARI ZAIDI ZITAENDELEA KULETWA HAPA JAMVINI KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.


ReplyDeleteMungu awanusuru wote Na janga hili.
Inaonekana kuna umuhimu wa vyombo vya usafiri vya maji kufuta Safari za meli pindi tu utabiri wa hali ya hewa unapotoa taarifa ZA HALI MBAYA YA HEWA.
ReplyDelete