Nyumba  hii   ipo katika hali nzuri  na  kuna  wapangaji wanaishi humo.

Sifa  zake 
> Ina vyumba  vitatu  vya kulala ,choo cha  ndani ,stoo,jiko na Sebule kubwa 
>Hati  ipo nyumba   ipo na  vielelezo vyote nyeti vipo.

>Eneo ambalo  limejengwa ni alisimia 30  ya  uwanja 

> uwanja una  ukubwa wa Skwea mita 525
>Maji na umeme  upo 

> Barabara inafika hapa nyumbani 
Nyumba  hii  inauzwa  Tsh  milioni 60 sasa ni TSh 55m  maelewano  yapo 
> Nyumba  ipo  eneo la Mkimbizi Bima  katika Manispaa ya  Iringa jirani na kituo cha  Yatima  cha  Deily Bread 
Kwa mawasiliano piga simu namba 0754 026 299/0789281030/0712750 199

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sasa nitanunuaje nyumba yenye wapangaji? mkataba wao unaisha lini? ungewapa notice kwanza wahame ndio uuze nyumba. wakikataa kuondoka?

    ReplyDelete
  2. Hamisha wapangaji kwanza. Kisha ndo uweke tangazo la kuuza nyumba. Siyo unauza nyumba na wapangaji wake. Unataka atakayenunua nyumba aingie kwenye mgogoro?? Kisha useme wazi kuwa hiyo m55 mtu ananunua nyumba pamoja na kiwanja chote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...