Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela jijini Dar es salaam kuanzia TOT  mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.
Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela kwani magari haya yachukua nafasi kubwa ya barabara
Pia kuna magari mengine yamepaki kwenye service roads 

CHANZO: PAMOJA BLOG

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. golden coach...

    ReplyDelete
  2. Kwakweli uwa nasikia hasira sana nikipita barabara hiyo. Sio leo wala jana hayo malori kupark barabarani. Naomba Tanroad na Traffic watoe msimamo kama kupark gari barabarani inaruhusiwa. Niabu kwa mtu mmoja kuziba public road na vyombo husika vinakaa kimyaaaaa. Kama unaweza Park barabarani ukalipia na yenyewe tujue!! Ili tuondokane double standard.

    ReplyDelete
  3. Naungana na mdau juu. Kusema ukweli hawa jamaa wamegeuza ndio parking halali ya magari yao kuingia godauni na kusababisha shida kubwa. Jamani wenye mamlaka au ni sahihi kwa hali kuendelea ?

    ReplyDelete
  4. Tatizo malori ya wakubwa hayaguswi na pia wait hawapiti barabara hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...